Vision & Mission-Free Pentecostal Fellowship in Kenya-Kilifi

Vission and mission

 

Mission statement

Reaching the nations with the Gospel of the Lord Jesus Christ, teaching them the word of God, empowering communities spiritually, economically and socially through evangelism, education, training and socio-economic activities that are based on the Bible.Kufikia mataifa kwa injili ya Bwana yesu Kristo, tukiwafundisha neno la Mungu, tukiwezesha jamii kiroho, kiuchumi na kijamii kupitia kwa uinjilisti, elimu, mafundisho na shughuli zenye kuleta mapato VISION STATEMENT

To make Christ the Lord in every member of the family, by growing together in the word, worship and in daily lives as testimony to God’s saving grace to the entire world.   

 Kumfanya kristo kuwa bwana kwa kila mmoja katika jamii, kwa kukua pamoja katika neno, kwa kuabudu na katika maisha ya kila siku kama ushuhuda wa Neema ya Mungu iokoayo kwa ulimwengu mzima